JUNIOR

JUNIOR
MWANZA TANZANIA

like

Monday, July 27, 2015

J.R CATERING YANOGESHA USIKU WA RHODA NDANI YA UKUMBI WA VIJANA MLANGO MMOJA MWANZA

 meza ya maharusi ikiwa imependezana menu ya JR catering services
 wageni waalikwa mabibi na mabwana wakipta chakula kitamu kutoka kwa J.R CATERING ya mwanza 
 Rhoda na mme wake mtarajiwa wakijindaa kupata chakula baada ya kutambulishana kwa wageni waalikwa waliohudhuria katika Send Off party ya Rhoda
 meza ya maharusi


 wafanyakazi wa J.R CATERING wakiwa tayari kwa ajili ya kutoa huduma kwa wageni waalikwa
 Bi. Rachel Yusuph ambae ndio mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya J.R CATERING SERVICES akijitambulisha kwa wageni waalikwa baada ya wageni kupata chakula kitamu kutoka kwa kampuni yake iliyopo jijini mwanza na yenye maskani yake nyakato mwanza
 MC ester akiwa na mic akimtambulisha Bi. Rachel mwenye kampuni ya JR CATERING SERVICES
 maharusi wakiwa tayari kwa kupata msosi
 JR CATERING TEAM
 Wafanyakazi wa kampuni ya JR CATERING wakiwa wamevalia sare za kazi wakiwa tayari kwa kutoa huduma nzuri kwa wageni waalikwa ndani ya ukumbi
mchakato wa kupata chakula kwa maharusi na wageni waalikwa ukiendelea kama kawida.
JR CATERING SERVICES yenye maskani yake jijini mwanza wanatoa huduma nzuri ya chakula kwa kila hatua unayohitajika kama vile kutoa huduma ya chakula kwa HARUSI, KITCHEN PARTY, SEND OFF, BIRTHDAY, MIKUTANO YA SIASA, MASHULENI, NA sehemu zingine muhimu zenye kuhitaji huduma ya chakula.
kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo hapo chini pamoja na email
CALL: (+255) (0) 756 185 684
E-mail: lolineyusuph@gmail.com

PICHA: JR CATERING ILIVYOSHEREHESHA UMOJA WA WANWAKE TANZANIA SIKU YA UCHAGUZI VITI MAALUMU MWANZA



 wahudumu wa kampuni ya kutoa huduma ya chakula ya JR CATERING wakiwa wako kikazi zaidi wakati wa uchaguzi wa viti maalumu jijini mwanza
 mkusanyiko wa akina mama wa mkoa wa mwanza uliojumuisha wilaya zote za mwanza wakiwa katika ukumbi wa BWALO LA MAGEREZA butimba mwanza wakiwa katika foleni ya kupata huduma ya chai kutoka kwa wahudumu wa kampuni ya JR CATERING. wanawake hwa wote wanakadiriwa kuwa zaidi ya 750 waiohuhuria mkutano huo wa CCM
 mambo yakiwa tayari wakisubiri wajumbe wote wafika hapa kwa ajili ya kupata kikombe cha chai

 Bi Rachel wa kampuni ya JR CATERING akiwapa huduma ya chai  akina mama wenzake waliohudhuria mkutano huo mkuu wa ccm mwanza