wahudumu wa kampuni ya kutoa huduma ya chakula ya JR CATERING wakiwa wako kikazi zaidi wakati wa uchaguzi wa viti maalumu jijini mwanza
mkusanyiko wa akina mama wa mkoa wa mwanza uliojumuisha wilaya zote za mwanza wakiwa katika ukumbi wa BWALO LA MAGEREZA butimba mwanza wakiwa katika foleni ya kupata huduma ya chai kutoka kwa wahudumu wa kampuni ya JR CATERING. wanawake hwa wote wanakadiriwa kuwa zaidi ya 750 waiohuhuria mkutano huo wa CCM
mambo yakiwa tayari wakisubiri wajumbe wote wafika hapa kwa ajili ya kupata kikombe cha chai
Bi Rachel wa kampuni ya JR CATERING akiwapa huduma ya chai akina mama wenzake waliohudhuria mkutano huo mkuu wa ccm mwanza
No comments:
Post a Comment